Suruali za Kiume za Cotton / Khaki Chinos (JeeD Brand)
Sold by Vivitona Classic Wear StoreTZS 15,000
Ilalal, Dar es Salaam
Shop this product Explore product detailsChoose your options and review delivery in the seller’s store.
TZS 15,000
Ilalal, Dar es Salaam
Shop this product Explore product detailsChoose your options and review delivery in the seller’s store.
Suruali za Kiume za Cotton / Khaki Chinos (JeeD Brand)
Boresha Muonekano Wako kwa Mtindo na Starehe!
Unatafuta suruali inayokupa muonekano wa kisasa, nadhifu na wa kuvutia ukiwa kazini au kwenye mitoko ya kawaida? Suruali hizi za JeeD ni chaguo sahihi kwako! Zimetengenezwa kwa kitambaa kizito na imara cha cotton chenye ustahimilivu wa hali ya juu na kinachovutika kidogo kwa ajili ya kukupa amani na starehe siku nzima.
Sifa Kuu:
Kitambaa Imara & Laini: Hazipauki haraka na ni rahisi kupiga pasi. Muundo wa Kisasa (Smart Fit): Inakaa vyema mwilini na kutoa muonekano nadhifu sana. Rangi Mbalimbali: Zinapatikana katika rangi tofauti za kifahari (Eneo la Udongo/Brown, Beige/Khaki, Navy Blue, Jeusi, na Olive/Green) ili kurahisisha ulinganishaji na shati au t-shirt yoyote. Matumizi: Zinafaa kwa ajili ya ofisini, mikutano, mitoko ya wikiendi, na sherehe za kawaida.
Detail za Kipekee:Zikiwa na Nembo ya Chuma (Jeep/JeeD shield logo) nyuma na mifuko imara ya mbele na nyuma. aizi Zinazopatika:30 - 38
🚚 Usafirishaji: Tunatuma mikoani kote na kufanya delivery ndani ya mji!
📞 **Wasiliana Nasi Sasa Kuweka Oda na nunua kwa kubonyeza Add to cart