Skip to product
Connecting you to businesses across Tanzania
Angaza Directory Logo Angaza DirectoryDiscover. Connect. Grow.
Product galleryTake a closer look
Wholesale and retail trade; repair of motor vehicles and motorcycles

Striped Classic Polo T-Shirt

Product price

TZS 12,000

AvailabilityOn request
Minimum order1 unit(s)

Ilalal, Dar es Salaam

Shop this product Explore product details

Choose your options and review delivery in the seller’s store.

Explore the businessVivitona Classic Wear Store
A closer look

About this product

Ongeza muonekano wa kipekee, wa kisasa na wa kiheshima kwenye kabati lako na Striped Classic Polo T-Shirt hii mpya! Inafaa sana kwa matumizi ya kila siku, mtoko wa wikendi, au hata kazini (smart casual). ​✨ Sifa za Bidhaa: ​Muundo & Design: Design ya misingo (stripes) yenye muonekano wa kisasa na kola ya kisasa yenye vifungo mbele.
​Kitambaa: Kitambaa laini cha pamba (cotton blend) kinachovuta hewa vizuri, kisichopoteza ubora wala kuchuja rangi haraka. ​Muonekano: Nguo inayokaa vizuri mwilini na kutoa muonekano wa nadhifu na wa ki-gentleman. ​Sizes: M, L, XL, XXL (Zipo kwa idadi ya kutosha) 📍 Duka Lipo karikoo mtaa wa uhuru na Nyamwezi karibu na sheli ya Total 🚚 Huduma ya Usafirishaji: Tunatuma mikoani kote na Dar es Salaam delivery ipo!

Product reference
ANGAZA-PRODUCT-318
Category
Wholesale and retail trade; repair of motor vehicles and motorcycles
Location
Ilalal, Dar es Salaam
Keep it close. Pass it on.

Share this product

Scan the QR code to open this product, or download its QR code and barcode for easy sharing.

More from Vivitona Classic Wear Store
Report this product