Skip to product
Connecting you to businesses across Tanzania
Angaza Directory Logo Angaza DirectoryDiscover. Connect. Grow.
Product galleryTake a closer look
Manufacturing

Mashine ya Kukaushia Mazao, Mboga na Matunda (Dehydrator / Industrial Dryer)

Product price

TZS 5,000,000

AvailabilityOn request
Minimum order1 unit(s)

Ilala, Dar es Salaam

Shop this product Explore product details

Choose your options and review delivery in the seller’s store.

A closer look

About this product

Ongeza thamani ya mazao yako na kuzuia upotevu wa bidhaa za kilimo kwa kutumia Kaushio la Kisasa la Kukaushia Mazao, Mboga na Matunda.

Mashine hii imebuniwa maalum kwa ajili ya kukausha mboga za majani, matunda, viungo, na mazao mbalimbali kwa kiwango cha juu cha usafi na ubora, huku ikihifadhi virutubisho na rangi ya asili ya zao.

Sifa Kuu (Key Features):

  1. Ujenzi wa Chuma Isiyoshika Kutu (Stainless Steel): Imetengenezwa kwa chuma safi cha stainless steel cha kiwango cha chakula (food-grade), kikihakikisha usafi, Usalama wa chakula, na kudumu kwa muda mrefu.

  2. Shelf/Tray Nyuzi Nyingi (Multi-Tray Capacity): Ina rafu na matrei mengi ya kutosha yanayowezesha kukausha kiasi kikubwa cha mazao kwa wakati mmoja.

  3. Mfumo Sahihi wa Joto na Hewa: Unahakikisha mzunguko mzuri wa hewa ya joto ili kukausha bidhaa zako kwa usawa bila kuziunguza au kupoteza ubora.

  4. Milango Imara yenye Uhifadhi wa Joto: Lango lake kubwa la stainless steel linasaidia kuzuia joto kutoka nje, hivyo kuongeza ufanisi wa matumizi ya nishati.

  5. Matumizi ya Kibiashara na Viwanda Vidogo: Inafaa kwa ajili ya wasindikaji wa mboga, matunda, chai, na viungo, pamoja na vikundi vya wakulima au wajasiriamali.

Faida za Bidhaa Hii:

a. Inazuia Upotevu wa Mazao: Inakusaidia kukausha na kuhifadhi mboga au matunda yanayoharibika haraka ili kuyauruza wakati wa uhaba.

b. Inahifadhi Virutubisho: Mfumo wake wa kukausha kwa joto lililodhibitiwa unahakikisha chakula kinabaki na ladha, rangi, na virutubisho vyake vyote vya asili.

c. Urahisi wa Kusafisha na Kuhudumia: Tray zake zinaondolewa na kusafishwa kwa urahisi ili kuzuia mchanganyiko wa harufu au uchafu

Product reference
ANGAZA-PRODUCT-323
Category
Manufacturing
Location
Ilala, Dar es Salaam
Keep it close. Pass it on.

Share this product

Scan the QR code to open this product, or download its QR code and barcode for easy sharing.

More from MIRADI NA UBINIFU/TANZANIA DEHYDRATORS AND MACHINERIES
Report this product